Wikileaks Lands In Sweden and the Tea Party Nation Lands in a Cup of Rage

Okay,i’m mad. I’m bloody fuming over here, and I have damned good reason. Wanna know why?

Because the Tea Party Wackos Want To Take Away My Right To Vote! As you can imagine, I consider the very idea an infringement upon my basic rights as an American Citizen, and I’m more than a little upset at the idea that my rights are being taken away.

Let me be a little more specific for those of you with severe aversion to clicking links.

The President of the Tea Party Nation has gone on record as saying that he thinks it’s a good idea to restrict the ability to vote to property owners. He says that that is the way it was intended in the constitution, and he even says that it would be a good idea for people’s votes to have more weight if they own more property.

 Okay, I’ve got to do this, and while I don’t want to offend certain individuals who read my blog, this must be said. There is a good reason words like this exist, and you can scroll down if you don’t want to read it. So in other words, pardon my language when I say…

WHAT THE FUCK, PHILLIPS!?

I mean seriously, these sorts of of restrictions were phased out in the early 1800s for a number of very good reasons. Property owners are not the only people with a “vested interest” in the state of the country, nor do they have a primary interest. Every citizen, no matter their standing, economic situation, race or gender have a right to vote. That is the way things should be.

I don’t care if that’s what the Founding Father’s intended. We can make changes to our government for a reason. Black people couldn’t vote at one point. Women couldn’t vote at one point. Should we roll back those elements of our rights too? Of course, look who I’m talking to. Of course they’d restrict that too.

 I’ve been proud to be an American under the basis that I have a stake in my government. I have a voice. Under this proposed restriction, I would not be able to vote. Neither would any of my siblings. Nor would anybody living in a rented apartment or duplex. Most people living in all major cities would be unable to vote! Think about the implications! We’re not an agrarian society anymore. Many, many people rent from landlords. This proposal is elitist bullshit that puts the power of the government completely in the hands of rich landowners and landlords. It’s practically a reversal to feudalism with a republic twist.

Do Not Want.

And come to find out, this has been a pet project of a number of republicans, including Supreme Court Justice Scalia, Governor (and secessionist in patriot’s clothing) Rick Perry and others. Where has the media coverage been? Why hasn’t this fundamental challenge to my rights been illuminated before now? This is the kind of thing that should be on every nightly news cast in America, dissected so that the people know exactly what is at stake. Instead we have fluff pieces. My God! What is happening to American freedom?

I’m going to start rambling if I don’t cut myself off there, so… on to Wikileaks.

Here’s the long and of it. I like Wikileaks. Without them I wouldn’t be giggling over the Libyan President’s usage of Botox, or the Italians being the girl-of-the-street to Russia’s pimp. Hilarious. But I also love it for bringing transparency to our Government. I strongly believe in transparency in Government (and privacy in personal lives, for contrast). I want to know when my Government makes shady backroom deals and why. I want to know who we are supporting, who we are attacking and for what reasons. I want to know when my country illegally spies on the U.N., and when they experiment with chemicals and drugs on poor villages in third-world countries. I want all of this without the political spin and filter. “Knowing is half the battle,” as a wise Saturday morning cartoon once said.

 I don’t like the idea of people being in trouble and in danger for their lives because of this information. I really don’t. But that’s the gray.

Of course this is surely only the tip of the iceberg, and the really secret secrets are still secret. I would love for those layers to be peeled back as well. And I don’t just want this for America. I want this to hit Russia, China, the U.K., Japan. I want this transparency to hit everywhere, and keep on expanding.

I know that already there have been major shady dealings that are going on to put Wikileaks down. Everything from putting pressure on Amazon to drop Wikileaks for ridiculous reasons, to possible assassination attempts of the figureheads behind the organization. This just furthers my insistence that we need transparency. What other shady dealings and black ops are going on that we don’t know about? What if these operations don’t match up with the American ideals and values? I want to know.

So yay, Wikileaks! Glad you already found a new home in Switzerland!

That’s all for today, folks! Lot’s of ranty-rant and political opinionating. Hope you enjoyed the return to form for today at least!

– Edward L. Cheever II

 

By Yericko Nyerere

CCM ni Chama cha Kiislamu?

Na Mungi wa JamiiForums.com

Madai ya aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Lindi nikuwa Chadema kinaudini na amebainisha kuwa chama kinawapendelea wakristo,

Ally Oma r chitanda sijawahi kumsikia hapo awali, nimemjua leo wakati anajivua gwanda.  Kwakuwa ametaja udini kwa kuwataja wakurugenzi watano tu wachadema kati ya wakurugeni zaidi ya 10 ndani ya chadema kwa sababu anazozijua mwenyewe, na kwakuwa wengine ambao hawakutajwa ni waislamu, hebu sasa tuangalie sekretariate ya chama cha mapinduzi (ccm), 1.mwenyekiti – jakaya kikwete – muislamu 2.katibu mkuu – abdulrahman kinana – muislamu 3.naibu katibu bara – mwigulu nchemba – muislamu 4.naibu katibu viziwani – vuai ally vuai – muislamu 5.katibu itikani na uenezi – nape nnauye – muislamu 6.katibu wa nec siasa na uhusiano – asha migiro – muislamu (zamani mkristo) 7.katibu wa nec uchumi na fedha – zakia meghji – muislamu 8.katibu wa nec oganizesheni – mohamed seif khatib

 tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu 1.rais wa nchi – muislamu 2.makamu wa rais – muislamu 3.jaji mkuu – muislamu 4.mkuu wa usalama wa taifa muislamu 5.mkuu wa polisi – muislamu 6.waziri wa ulinzi (wizara nyeti na muhimu) – muislamu

 wakuu wa mikoa 65% ni waislamu.  Wakuu wa wilaya 80% ni waislamu

 je, ccm ni chama cha kiislamu?

 

By Yericko Nyerere

Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua! Je, Wewe Unazo?

 

Na Pasco  wa JamiiForums.com.

Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, mfano, “Miujiza ya Ukweli!”.

Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni nguvu inayoitwa “Will Powers” ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo, ila wengine wanabahatika kwa nguvu hizo kujionyesha bayana, huku wengine wengi wakiwa nazo bila kujijua kuwa wanazo nguvu hizo!.

Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi, kufanya hayo wanayoyafanya, ila pia, wanga, wachawi, waganga, watabiri, wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao!.

Matumizi ya neno “Katika Jina la Bwana”, “Yesu”, “Mungu” au jina lolote utakalotumia, ni kiashiria tuu cha kuufungua mlango wa nguvu hizo, ili ziweze kutenda miujiza, hata wasiotumia majina hayo, au maneno hayo huweza kutenda miujiza!.

Matumizi ya nguvu hizo, yanapotumika kutenda mema, huitwa nguvu za “Mungu”, “Yesu”, au “Roho Mtakatifu”, na nguvu hizo zinapotumika kutenda maovu kama uchawi, majanga, magonjwa, etc huitwa “Nguvu za giza!”.

Kwa vile nguvu hizi kila mtu anazo, hata hao wanaofanya miujiza ya uponyaji, wanachofanya ni kufungua tuu milango, ili nguvu zilizo ndani yako, ziweze kutenda hiyo miujiza, na ukipona, kilichokuponya sio huyo mponyaji, wala lile jina la Yesu, au jina Mungu, bali ni nguvu zilizo ndani yako!, “the powers from within!”.

Hatua ya kwanza ya kufungua nguvu hizi ni “imani” kuamini kuwa “you have the powers” and that “you can do anything!”, or “you can be anybody”. Kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Allah, Roho Mtakatifu, Bikira Maria, Watakatifu, Wachungaji, Wahubiri, Baba Mtakatifu, Sangoma, Sheriffu, Mlingotini, Chini ya Mti, Chini ya Mbuyu, Mlimani, Pangoni, Kisimani, Mtoni, Ziwani, Kwa Mganga, Vitabu Vitakatifu etc, ni njia rahisi ya kuanzia kufungua milango ya “higher power” to open up your doors for powers from within!” to act on you for you!.

“I know I can, be what I wanna be!”

Wale wenzetu wajanja, waliojitambua kuwa wanazo, wengi wanazitumia kutengezea mapesa kwa kisingizio chochote kiwe ni cha wahubiri, waganga, “wazee wa busara”, “watenda miujiza”, “wafukuza mapepo” kwa kukusanya sadaka na kujitajirisha, ambao mimi naita ni “wizi mtupu”, huku waumini wakendelea kukamuliwa na kuachwa katika umasikini uliotopea!.

Nguvu hizi zimegawanyika matika makundi mengi tofauti, hivyo nimekuwekea baadhi ya makundi hapa chini, just take your time kuyatambua, ujiangalie na wewe unazo nguvu zipi, ili sasa uzitumie nguvu hizo, to “make things happen!”.

This is a list of psychic abilities that have been attributed to real-world people. These are also sometimes known as extrasensory perception or a sixth sense. Inclusion in this list does not imply scientific recognition of the existence of an ability. Superhuman abilities from fiction are not included.

Psychic Powers- Ni Nguvu za Kufanya Miujiza-Wengi Wanazo Bila Kujitambua!-Jee Wewe Unazo?!,
Take time kujitambua kuwa you have the powers,
Nitakusaidia website za kukuelekeza ufanye nini kuhusu hizo powers ulizo nazo zikuletee mafanikio!.
Watu wote wenye mafanikio, wameisha jitambua, ila wengi wanafanya siri!.

Hii ni fursa kwa wewe kujitambua, kuzitumia powers ulizo nazo, kubadili maisha yako!.

Karibu tujadiliane!.

Pasco.

Kwa wanaopenda kujisomea kuongeza maarifa, nimeongeza list ya all the topics kwenye net resources kuhusu kila kitu chini ya jua.

World Religions
Traditions
Mysteries
What’s New?
About
Abuse
Books
Bibliography
Contact
Credits
Copyrights
Donate
Downloads
FAQ
Links
Map
Press
Privacy
Search
Top Level
Terms of Service
Translate
Standards
Unicode
Volunteer
Wishlist
Catalog
African
Age of Reason
Alchemy
Americana
Ancient Near East
Astrology
Asia
Atlantis
Australia
Basque
Baha’i
Bible
Book of Shadows
Buddhism
Celtic
Christianity
Classics
Comparative
Confucianism
DNA
Earth Mysteries
Egyptian
England
Esoteric/Occult
Evil
Fortean
Freemasonry
Gothic
Gnosticism
Grimoires
Hinduism
I Ching
Islam
Icelandic
Jainism
Journals
Judaism
Legends/Sagas
Legendary Creatures
LGBT
Miscellaneous
Mormonism
Mysticism
Native American
Necronomicon
New Thought
Neopaganism/Wicca
Nostradamus
Oahspe
Pacific
Paleolithic
Parapsychology
Philosophy
Piri Re’is Map
Prophecy
Roma
Sacred Books of the East
Sacred Sexuality
Shakespeare
Shamanism
Shinto
Symbolism
Sikhism
Sub Rosa
Swedenborg
Tantra
Taoism
Tarot
Thelema
Theosophy
Time
Tolkien
UFOs
Utopia
Women
Wisdom of the East
Zoroastrianism

By Yericko Nyerere

Kosa la mwaka 1960-1975 linalojirudia mwaka 2015

Na Yericko Nyerere wa JamiiForums.com

 

Mnamo tarehe 9 Desemba 1961, Tanganyika ilipata Uhuru chini ya Waingereza waliokuwa waangalizi wetu tu,  Ni nyakati hizo ambapo mataifa ya Afrika yalikuwa kwenye vuguvugu la kupata uhuru wao kamili yakiongozwa na Nchi ya Gold Coast iliyojinyakulia uhuru kutoka kwa Uingereza mnamo tarehe 6 Machi 1957, na ikawa taifa la kwanza la Afrika Kusini mwa Sahara (Sub-Saharan Africa) kufanya hivyo japokuwa Gold Coast/Ghana haikuweza kutangaza uhuru wake kamili kutoka kwa Uingereza hadi tarehe 1 Julai 1960 ambapo pia nchi ilianza kujulikana kama Jamhuri ya Ghana.  Nchi ya Gold Coast ilianzishwa na Waigereza, “Gold Coast” ni nchi ya Ghana ya leo, Neno Ghana lina maana ya Shujaa Mfalme na lilikuwa ni jina la heshima walilopewa wafalme wa Himaya ya Ghana nyakati za kale za Afrika Magharibi.  Tangu Tanganyika ipate uhuru 09/12/1961 hadi kifo chake chenye utata 1964, ilitumia KATIBA ya chama cha Ukombozi cha TANU iliyoandikwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, pamoja na mahuisho mengi yaliyopita kama yale ya 1962, 1965, 1977, 1992 bado asili ya katiba hii tuliyonayo leo ni ya MKONO wa Julius Nyerere,  Marekebisho makubwa ya Katiba yalikuwa ni mwaka 1977, lakini asili ya KATIBA ile ya Mkono wa Nyerere imeendelea kuishi na kulitendea haki Taifa na wajihi wake!  Nchi ya Gold Coast ilipopata uhuru chini ya Kwame Nkrumah licha ya kubadili jina la nchi na kuitwa Ghana, bado iliendelea kutumia asili ya katiba ya Chama cha The Convention People’s Party (CPP)  Labda kwa wale wasiojua niwafahamishe kuwa Katiba ya Tanganyika African National Union (TANU) ilinakiliwa kutoka chama rafiki cha The Convention People’s Party (CPP)  Ni mashirikiano mema katika makutano ya fikra za kisiasa kati ya vijana wawili wasomi na imara ambao bara la Afrika halijapata kuwa nao kwa karne hivi sasa, si wengine ni Julius Nyerere na Kwame Nkrumah walipobadilishara fikra na kuzaa matunda ya Afrika na dunia tuyatafunayo sasa,  Nimekuwa na mtazamo hasi kabisa juu ya uhuru wa Afrika kwa mda mrefu sana hasa kwa matukio niyaonayo na niyasikiao toka Afrika,  Miaka ya 1955-1975 ni kipindi ambacho Afrika ilijitoa toka mikononi mwa mkoloni, mimi huwa naamini ni kipindi ambacho Afrika haikuwa na sifa za kuwa tayari kujitawala kwa maana ya kujipatia/kupewa UHURU,  1. Afrika haikuwa na Wasomi wakuongoza nchi  2. Waafrika walikuwa kwenye lindi la kutopea kwenye ujinga, hawakuwa tayari kwa kuupokea uhuru huo,  Mfano Tanganyika ilipata Uhuru ikiwa na wasomi wachache wenye ngazi ya shahada ya Uzamili (Masters) ambae ni Julius Nyerere, na Shahada ya Uzamivu (PHd) ni mmoja tu ambaye ni Dr Vedasto Kyaruzi,  Na hata wale waasisi waliokuwemo kwenye harakati za kupigania Uhuru ndani ya TANU hawakuwa wasomi wa ngazi za juu zaidi ya Julius Nyerere,  Wazee hawa ni Julius Kambarage Nyerere, Ali Sykes, Lameck Makaranga, Gosbert Milinga, Gelmandus Pacha, Joseph Kimalando, Japhet Kirilo, Abubakar Ilanga, Saadan Kandoro, Suleiman Kitwara, Kisunguta Kabara, Tewa Said Tewa, Dosa Aziz, Patrick Kunambi, Joseph Kasela-Bantu, John Rupia, Abdul Wahid Sykes.  Nchi ya Gold Coast/Ghana ilipopata uhuru haikuwa na wasomi wengi wa Shahada, Stashada na Shahada ya Uzamivu na uzamili,  Msomi wa ngazi ya juu alikuwa mmoja tu mwenye shahada ya Uzamili (Master of Science) ndugu Kwame Nkrumah  Japokuwa usomi wa ngazi ya juu kwa watawala sio tiketi ya uwezo wa kutawala katika nchi, Hili huwa naamini ni kosa la Afrika la 1960-1975 kudai Uhuru na kupewa MAPEMA huku Waafrika hawakuwa tayari kujitawala wenyewe,  Hatua hii hunifanya niamini kuwa Afrika haikuwa imepevuka kujitawala kwa ngazi ya karne ile ya 20, huwa naamini kuwa miaka 1975-1985 ndicho kipindi ambacho Afrika ingekuwa kwenye mapito sahihi ya kujitawala, nikipindi ambacho binadamu wa Afrika angekuwa amepevuka,  Sasa ni karne ya 21, kosa lile la Karne ya 20 linajirudia katika muundo uleule kasoro nadharia tu, nalo ni upatikanaji wa Katiba mpya ya Tanzania,  Hali hii ya uhitaji wa katiba mpya kwa Watanzani ni jambo la kupongezwa na kujivunia kwa kila mtanzania, kwakuwa imedhihirika kuwa sasa Taifa limekuwa kifikra, na zaidi idadi ya wasomi katika nchi imeongezeka maradufu,  Lakini jambo la hatari na lisilokubalika nikuwa Taifa limeaminishwa kuwa Katiba Mpya itapatikana kabla ya 2015, huu ni ulaghai na wendawazimu wa wazi kabisa,  Katiba ya Watanzania haiwezi kupatikana kwa miaka mitano ama mmoja huu uliosalia, Katiba inayohitaji maridhiano, katiba inayopita kwenye misigano ya kitaifa, katiba inayohitaji elimu kwa Watanzania kwanza kamwe haiwezi kupatikana kabla ya 2015, kitakachopatikana kabla ya 2015 kitaitwa katiba ya kisiasa sio katiba ya Watanzania,  Ninachokiamini nikuwa Watanzania tujipe muda, turuhusu fikra na mijadala huru iendelee juu ya upatikanaji wa Katiba mpya, turuhusu majibizano ya hoja ya endelee, tuyturuhusu Watanzania wote wake kwa waume, Wazee kwa vijana wote watoe ya moyoni bila kuogopa mawazo yao,  Katiba bora ya kiraia yenye matakwa halisi ya Wananchi inaweza kuchukua hata miaka 10 mchakato wake mpaka kuipata, hivyo katiba hii ambayo mchakato wake unaendelea SIO lazima isimamie Uchaguzi wa 2015 kama wanasiasa wanavyotusukuma tuamini hivyo,  Nionavyo muhimu katika kipindi hiki nikuwa, Watanzania, wanaharakati na Wanasiasa waendele kusimamia mchakato uendelee lakini upande wa pili wageuzi fikra zao, uanzishwe mchakato wa marekebisho ya Katiba hii iliyopo ili tuingie nayo kwenye uchaguzi 2015.Kinyume na hapo ni kuwalaghai Watanzania kuwa katika itapatika kabla 2015,  Ikumbukwe kuwa Jakaya Kikwete ambae sasa ndiye rais wa Tanzania, katika historia ya siasa zake DUNIANI, hajawahi kuhitaji katiba mpya ya Tanzania wala kuizungumzia tu, hata serikali ya Chama chama Mapinduzi ambacho yeye ndiye Mwenyekiti hakijawahi kuhitaji Katiba Mpya ya Tanzania, na zaidi serikali ya Chama cha Mapinduzi iliyodumu kwa miaka 50 sasa haijawahi kuhitaji katiba Mpya ya Tanzania,  Vyama vya upinzani na Wanaharakati wa Tanzania ndio walioasisi mapambano ya kudai Katiba mpya, tena vikipita katika mapito magumu sana yenye kuhatarisha uhai wao,  Ni baada ya uchaguzi mkuu 2010 ndipo mbinyo wakudai katiba mpya ukiongozwa na chama kikuu cha upinzani nchini huku ccm na wahafidhina wake wakipinga katukatu kuwa Taifa halihitaji Katiba mpya,  Lakini KUFUMBA na KUFUMBUA Jakaya Kikwete alilitangazia Taifa kuwa linaanza mchakato wa Katiba, akitumia neno KUHUISHA katiba.  Tafakari Chukua Hatua, Busara ni mwanzo wa kukaribisha Hekima yenye nguvu za maliza tofauti katika nchi na kupata katiba ya kiraia yenye mkono wa Mtanzania,

By Yericko Nyerere

Kuanguka haraka kwa CCM na hatari inayolikumba taifa

Na JamiiForums.com

Ni asubuhi na mapema, anga likiwa na makunyanzi,huku magimbi yakitanza kwa ukelele na rangi ya kahawia inalitanda anga,

 Nyuso za magwiji wa falsafa za mlengo wa kati na hekima ya utawala wa nera zimeshamiri tabasamu mwanana kabisa,

 Ndio ni tarehe ileile ya 05/02/1977 siku tukufu kwa wahafidhina wa CCM, nasema ni tukufu kwakuwa wazalendo wa leo hawaamini kuwa ungano lile la saa nne mchana wa 05/02/1977 leo ndilo hili walionalo leo!

 Chama cha TANU kikiwa na nguvu thabiti na kikiwa ni miongoni mwa vyama vyenye nguvu barani Afrika, kiliamua kwa kauli moja kuungana na Chama cha Kizalendo/cha weusi ambacho ni kikongwe zaidi barani Afrika cha ASP,

 Hilo lilitimia baada ya Muungano wa nchi mbili huru yani Tanganyika iliyopata Uhuru chini ya Shujaa wake Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Zanzibar iliyopata uhuru wake kupitia MAPINDUZI matukufu chini ya Shujaa wake John Okello (Fiel Marshal) lakini kipindi cha muungano Zanzibar ilikuwa chini ya Sheikhe Karume mkubwa,

 Ni zama ambazo bara la Afrika lilishuhudia chama cha siasa imara kikizaliwa katika ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara katika ardhi ya Tanzania mpya, chama kilichokuwa na nguvu ya kiushawishi, nguvu ya kiuchumi, na nguvu ya kijasusi!

 Chama ambacho kwa msaada wacho kiliyaweka huru mataifa yote ya kusini mwa Afrika, hakuna nchi ya kusini mwa Afrika ambayo haikupita mikono mwacho, laa isingepata uhuru kwa wakati!

 Si chama kingine bali ni mvumo wa alama ya kijani na njano, tokezo sahihi la Chama Cha Mapinduzi!

 Kwa uimara wake, Tanzania palikuwa mahali pa sauti kuu ya mwafrika, Tanzania ilikuwa na SAUTI mbele ya UNO juu ya mambo mengi hasa UHURU kamili wa Mwafrika,

 Kuingia kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa hasa baada ya kupigwa mweleka kwa Azimio la Arusha mwaka 1992 na kuzaliwa Azimio la Zanzibar, kulileta mageuzi mapya ya chama hii,

 Sura na hadhi ya chama ilizidi kutia nyongo miongoni mwa wahafidhina hasa baada ya mabaka uchumi kujitwalia sauti na nguvu ya chama,

 Lakini magwiji wa siasa zile walipotangulia tu mbele ya haki, mizani ya chama hii imekuwa ikipinda siku hadi siku,

 Uchaguzi wa 2010 ulikuwa ni taswira halisi ya chama kubakwa, na wabakaji walidhamiria hasaaa na wamefanikiwa, mabaka uchumi yaliamua kuchota pesa hazina ya serikali (ya wanachi) na kutumbukiza katika uchaguzi huo yakipanda mtu wao wakulinda maslahi yao,

 Hakika yalifanikiwa, pesa ilichotwa kupitia mlango uitwao EPA, na yakamuweka mnadhiri wao Ikulu, na hakika maslahi yao yanalindwa kama yalivyo maagano yao!

 Hilo liliendelea kuwa angamizo kwa chama adhimu cha CCM, kwa mpasuko ndani yake uliendelea kuongezeka huku chama kikiacha majukumu yake stahiki na kugeuka KAMPUNI la biashara,

 Bahati mbaya iliyoje kwa ccm, kwani licha ya kugeuzwa mgodi wa wajanja, bado kiliendelea kukubwa na dhahama ya karne hasa kwa chama kugeuka kuwa NGOs ya familia ya Mwenye Jamuhuri, Baba kashika Jumuiya ya Wazazi, Mama kashika Umoja wa Wanawake, na Mtoto kashika Umoja wa Vijana,

 Hakika hapa wahafidhina ndipo walipokamatwa, hakuna pakufurukuta kata kugeuza ukope tu, ukitibuana na The Princess ujue umetibuana na Mwenye Jamuhuri, na ukitibuana na Bimkubwa ujue hulambi unga hata cheme ya haradali,

 Mungu wangu!, huenda ndio kifo kiliita ccm yangu,

 Kibaya zaidi mwenye kiti wa chama aliamua kupanga safu yake ya Uongozi baada ya Uchaguzi wa 2010 kwa kumpiga chini Yusufu Makamba na kuleta sura azitakazo ambazo kimsingi zingemsikiliza matakwa yake, naaam aliingia bingwa wa falsafa za kale za Kingwanamalundi, huyu kwa asili ni mtaalamu wa njama za siri na ni jasusi muhitimu mikononi mwa Julius Nyerere kama aliyo Yusufu Makamba, tofauti yao ni moja tu, Mkama ni mtaalamu wa mikakati ya siri aliyefuzu mafunzo ya kijasusi ipasavyo, Yusufu Makamba ni mtaalamu wa ujasusi wa kipropaganda aliyebobea na kuiva ipasavyo kutoka Mosco,

 Katika siasa za leo huku chama kikizidi kutoweka mioni mwa Watanzania, Chama kilihitaji mtaalamu wa propaganda aliyebobea ipasavyo, na kilihitaji mtaalamu wa njama za siri mwenye kutembea katika lengo mahususi,

 Lakini kumtoa Makamba na kumuweka Mkama lilikuwa kosa la karne, kwakuwa chama kilikuwa kwenye mfumo wa Analogi na kilihitaji kuingia katika mfumo wa Digitali ambamo vyama makaini vya mageuzi ya pili vimo,

 Kama vile mungu ameandika kifo kwa ccm mikononi mwa Jakaya Kikwete kabla ya 2015, chama kilifanya mabadiliko tena ya uongozi na kurudisha “makapi” ya kale na si mwingine ni Abdulahiman Kinana mtanzania mwenye ASILI ya “KIGENI” RAIA wa Somalia,

 Malengo ya mwenyekiti ni kutumia taaluma ya Kijasusi ya Kinana katika siasa mpya, lakini akisahau kuwa filosofia ya Kinana na Mkama ni moja kasolo hulka zao tu,

 Kinana amekuja na aina mpya ya siasa za Tanzania, hasa kwa kuruhusu na kushinikiza vyombo vya Dola kutawala siasa za CCM, leo mwanaccm hawezi kuzungumza chochote bungeni bila kupewa maelekezo na Idara za Usalama za nchi,

 Lakini hilo tisa, kumi ni pale chama kilipowaingiza vijana ambao hawajapevuka kiakili katika uongozi wa juu wa chama, lengo la CCM lilikuwa zuri sana kama lingelenga watu sahihi katika nafasi hizo kwakuwa hawa wangekuwa ni kiungo kati ya kundi la vijana nchini ambalo ndilo linalotawala karibu 98% ya wahanga na waamuzi wa siasa za nchi hii, Watu hao si wengine bali ni Mwigulu Nchema na Ndugu Nape Nnauye,

 Hawa kwa political meker wa ccm alilenga kuwa wawe kiunganishi cha vijana wa Kitanzania, lakini matakwa na chaguo la Mwenye Jamuhuri ni ANGAMIZO kwa CCM na kwa NCHI kwa ujumla,

 Wamegeuka kuwa ni maadui wa vijana wa kitanzania, hata wale vijana ambao hawakuwa na uamuzi wa haraka wa kuamua waende chama gani cha siasa wamejikuta wanaichukia CCM hata kabla hawajaamua pakwenda,

 Leo taifa limesimama wima linastaajabu kuona ccm imeamua kutawala kwa damu dhahiri shahiri, siasa za majukwani na vitendo vya vijana hawa Mwigulu na Nape vinaliyumbisha taifa, wamekuwa na mamlaka makuu kuliko hata mwenye Jamhuri, wanaamrisha vyombo vya dola watakavyo,

 Mauaji yametabakaa kila kona ya nchi, na yote chanzo ni siasa za nchi hii, manyanyaso kwa vyama vya upinzini yamekomaa kiasi cha kutishia usalama wa taifa hili hivi sasa, lakini yote haya ni ni siasa za majukwani za ccm kushindwa kushawishi Watanzania na sasa Watanzania wanalazimishwa kwa mtutu wa bunduki kuikubali ccm na maovu yake yote!

 Bahati nzuri watanzania wanasema wazi hapanaaaaa! Hawataki siasa za damu, hawataki kumpenda mtu kwa lazima, hataki kudanganywa tena, hawataki raslimali zao kuibwa tena,

 Wataka huduma bora na maisha bora huku raslimali zao kikilinufaisha taifa na vizazi vyao vya kesho!

 Taifa linayumba kwa siasa CHAFU za CCM, tumekuwa kituko mbele ya uso wa dunia, taifa linanuka DAMU ya binadamu, taifa linaomboleza kila uchao,

 Lakini waratibu na wauaji tunao mitaani, serikali haichukui hatua, na zaidi inabariki kwakusema “wapigini tu tumechoka”

 Kwa muktadha huo chama cha cha siasa chenye mlengo wa fikra za mageuzi ni Chadema, na kimefanikiwa kubeba tumaini la Watanzania karibu wote, labda tu wale wahafidhina vipofu wa ccm!

 Watanzania wanao uchaguzi wao wenyewe, wakuamua ama kuishi katika damu ama kuishi katika ukombozi mpya,

 Mwenye macho haambiwi tazama!

 

By Yericko Nyerere