CCM ni Chama cha Kiislamu?

Na Mungi wa JamiiForums.com

Madai ya aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Lindi nikuwa Chadema kinaudini na amebainisha kuwa chama kinawapendelea wakristo,

Ally Oma r chitanda sijawahi kumsikia hapo awali, nimemjua leo wakati anajivua gwanda.  Kwakuwa ametaja udini kwa kuwataja wakurugenzi watano tu wachadema kati ya wakurugeni zaidi ya 10 ndani ya chadema kwa sababu anazozijua mwenyewe, na kwakuwa wengine ambao hawakutajwa ni waislamu, hebu sasa tuangalie sekretariate ya chama cha mapinduzi (ccm), 1.mwenyekiti – jakaya kikwete – muislamu 2.katibu mkuu – abdulrahman kinana – muislamu 3.naibu katibu bara – mwigulu nchemba – muislamu 4.naibu katibu viziwani – vuai ally vuai – muislamu 5.katibu itikani na uenezi – nape nnauye – muislamu 6.katibu wa nec siasa na uhusiano – asha migiro – muislamu (zamani mkristo) 7.katibu wa nec uchumi na fedha – zakia meghji – muislamu 8.katibu wa nec oganizesheni – mohamed seif khatib

 tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu 1.rais wa nchi – muislamu 2.makamu wa rais – muislamu 3.jaji mkuu – muislamu 4.mkuu wa usalama wa taifa muislamu 5.mkuu wa polisi – muislamu 6.waziri wa ulinzi (wizara nyeti na muhimu) – muislamu

 wakuu wa mikoa 65% ni waislamu.  Wakuu wa wilaya 80% ni waislamu

 je, ccm ni chama cha kiislamu?

 

By Yericko Nyerere

Leave a comment