Mr President Jakaya Kikwete, waujua mtandao huu hatari?

By Wikileaks01 Spy

Mr President,

Mara ya kwanza nilitumia mtandao wa http://www.jamiiforums.com lakini sasa naendeleza mazungumzo yangu na wewe kwa kutuma mtando huu wa http://www.wikileaks01.wordpress.com si kwa lengo la kukutisha. Lengo ni kukukumbusha uwe makini ili usijefanya uamuzi wa hovyo na kuliingiza taifa katika machafuko na kuharibu timetable za watanzania. Machafuko ndiyo tunayoyakwepa lakini si wewe (I have to tell you the truth because you are not my breadwinner at all).

Mtandao

 Ninachozungumzia hapa ni kundi kubwa na hatari linaloaminika kuongozwa na Edward, Rostam, Othman, Apson, Karume na Shein na Mkapa. Ninakufahamu vizuri sana na ungekuwa uwezo wako, hawa wote ungeweza kufanya uwezalo ili kumweka madarakani mtu unayemtaka kwa maana ya Asha au Nahodha. Huu ni mtandao unaofanya kazi kwa umakini wa hali ya juu sana. Ukitaka kuamini, jiulize swali la kipuuzi sana kuwa kwanini kila plans unazofanya (zisizo na faida) kwa kundi hili zote zimefail?

1. Shein ni nani?

 Nataka nikukumbushe ”issue” ya Omar Juma. Huyu alikuwa threat kubwa kwa kundi lenu kwa ajili ya 2005. Mtandao wake ukibebwa na Mkapa ulikuwa ni hatari sana. The only way ilikuwa ni ”kumwondoa” na hilo liliwezekana. Siku nikiwa na muda nitaeleza mchezo wote ulivyofanyika. Wakati jina limeletwa tukiwa hotel moja maarufu hapa Dar, nakumbuka hukuweza kumfahamu Shein wala kulitamka jina lake vizuri. Ulikosea mara tatu kulitamka. Tukacheka wote. Hatimaye Shein akawa makamu wa rais.

 Baada ya wenzako kukuweka madarakani (mgombea ndani ya CCM), kosa ambalo Shein hataweza kukusamehe katika maisha yake (Mimi sio Mungu, kwani anaweza kukusamehe vilevile) ni pale ulipo-attempt kumfanya Zakhia kuwa makamu wa rais. Asingekuwa Edward, Rostam, Mkapa na Karume, leo hii Shein angekuwa mwenyekiti wa TPDC au TANAPA!. Kitendo cha Shein kuletwa na kundi hili, kutetewa na kundi hili achilia mbali kushawishiwa na kundi hili agombee urais wa Zanzibar ili kummaliza nguvu Nahodha chaguo lako kinamfanya awe mtiifu kwao kuliko hata kwa Mwanamwema!. Unafahamu vizuri Shein alivyoshinda urais Zanzibar, rafiki zako walikuchezea akili wakikuambia kuwa wamemleta Shein ili kupunguza kura za Bilal na ulipomkubali Shein wao wakaenda kumpigia Bilal kampeni wakijua kazi ya kumweka Shein imekamilika. Baada ya hapo uliendelea kumng’ang’ania Zakhia kuwa makamu. Mkapa akishirikiana na Rostam (ambaye alikuwa akim-install Bilal kuwa makamu huku yeye akiwa South Africa kuangalia World Cup) walimweka Bilal hapo alipo.

 Shein hakushinda uchaguzi Zanzibar. Kilichofanyika ni Mkapa, Rostam, Karume kumhonga pesa za kutosha sana Maalim kupitia kwa kijana wao hatari sana Jussa (kumbuka huyu aliletwa na Rosatm ili umteue awe mbunge). Today, umeshindwa kumweka mtu wako Zanzibar na makamu wa rais Muungano. Walichoweza kufanikisha ni kuiteka Zanzibar yote (Bilal na Shein). Nakukumbusha ya kwamba, ili uwe mgombea kupitia CCM, unahitaji Zanzibar na ‘Lake Zone’. Kule ‘Lake Zone’ wamekushinda. Hilo unalifahamu vizuri. Hii ndiyo maana Wanzanzibar wamekutesa sana ndani ya CC iliyopita. Ili kukuonyesha kwamba hufai, Shein kampa udaktari wa heshima ”Baba yake” mdogo Karume. Ninafahamu jinsi unavyojikosha kwa Anne kwa kumpa nishani ili kusiwe na vote of no confidence mwakani hasa kwa sakata la Richmond na Twiga. Napenda kumhakikishia Anne ya kwamba that’s a strategy anayoitumia Mugabe ya kuwamaliza watu. JK ameiiga huko. Naomba Anne uwe makini sana. Waweza kufa kwa ”presha” usipoangalia.

2. Karume ni nani?

 Huyu alipigiwa kampeni kubwa sana na Edward na Rostam mwaka 2000 licha ya CCM Zanzibar kumkata jina lake. Kwa hili Karume hawezi kuwasahau hawa jamaa mpaka anakufa. Karume alikupinga Butiama. Yeye, Edward na Rostam wakaenda ku-design ”mwafaka” wao wanaoujua ambao leo hii unafanya kazi Zanzibar. Nataka nikukumbushe mara ya pili kuwa Jussa aliletwa kwako na Rostam ili umpe ubunge. Think twice! Karume ndiye rais aliyeleta maendeleo makubwa Zanzibar. Shein will do more than what Karume did. Usishangae ukisikia Karume kuwa makamu wa Lowassa 2015!. Karume ana msimamo. Hayumbi na bahati mbaya sana hakuogopi.

Karume na Jussa ni wamoja na wanafahamiana vizuri sana kuliko wewe unavyofikiri. Kundi hili linao uwezo wa kuvunja Muungano muda wowote linaoutaka na kuanzisha serikali tatu na baada ya malengo kutimia likaanzisha serikali moja!. Ni vigumu kuelewa ni yapi majukumu ya Karume ndani ya hili kundi na nani kampa majukumu hayo na wapi kiburi cha Karume kimeegemea. Ni swala la historia ndefu sana ambayo nitaiunganisha vizuri baada ya kumchambua Rostam ambaye nitachukua muda mrefu kumchambua kuliko mwingine yeyote katika kundi hili.

Nafikiri urafiki wako na Karume waweza kuwa umeingia doa kipindi cha 2007 hivi wakati umeletewa zile briefcase zilizojaa dola na kumhukumu Karume kabla hujaenda uarabuni!. Hivi zile dola zilienda wapi Mh Rais?. Zilikuwa nyingi kwelikweli. Hata hivyo Karume anaweza kweli kusahau mchezo mliotaka kumfanyia wewe na Nahodha kuhusiana na mwafaka kabla ya kipindi chake kuisha na kupelekea kumtishia Nahodha nafasi yake ya Waziri Kiongozi? Nahodha akabaki analia wakati wewe umemruka tayari baada ya kuona umezidiwa nguvu?. Mr President, unawafahamu waliokuwa nyuma ya mchezo huu? Basi hao hao kwa miaka mingi wangekwishakumaliza lakini Edward alionekana “kukupenda’” zaidi na yeye amekuwa akiwawekea ngumu yaani kukulinda lakini kwa bahati mbaya sana, amewakubalia hivyo kufanya ‘‘game’’ kuwa kali. Edward anaweza kukulinda baadaye. Lakini hutaweza kufanya biashara yeyote ile na waweza kubaki na “njaa” kali sana baada ya kustaafu. ‘‘Game’’ hii ni hatari kwasababu lazima imuweke Karume kwenye nafasi za juu za uongozi wa taifa hili 2015. Mh Rais naomba umuulize Mama Maria Nyerere akwambie vitisho alivyopewa na Karume na Mkapa kuhusiana na mwanaye makongoro wakati wewe unaendesha kikao cha NEC. Hata hivyo ni vizuri ukajiuliza swali la kitoto kama hili: Je ni kwanini Karume na wenzake walikushinikiza sana umteue Tom Apson kuwa mbunge wao wakikudanganya kwamba Tom amefanya kazi nzuri ya kuiba siri za Apson na malecela na wengine? Think twice Jakaya!.

3. Rostam ni nani?

Licha ya kuwa rais wa nchi hii tena Kamanda mkuu wa vyombo vyote vya usalama, umeshindwa kumfahamu Rostam kwa undani zaidi. Nikiri kwamba, bado hujamfahamu Rostam vizuri na sidhani kama ‘’vijana’’ wako wanamfahamu vizuri. Kabla sijamwelezea vizuri, naomba nikukumbushe kitu kimoja. Hivi ilikuwaje mwaka 1995 wakati kambi yako inaomboleza baada ya kushindwa urais, Rostam alionekana kwenye sherehe ya kumpongeza Mkapa tena akiwa na Mkapa na kwa mazungumzo marefu sana?. Je aliwasaliti nyie washirika wake?.

Nikiri tena kuwa, Rostam aweza kuwa mtu hatari, mwenye akili ya haraka sana lakini mwenye kuzichezea kwa akili ya juu sana siasa za Tanzania kuliko mtu yeyote aliye hai niliyeweza kumfahamu hapa Tanzania. Huyu akiwa pale LSE UK, alijenga urafiki mkubwa sana na binti wa mkubwa mmoja na muhimu katika Tehran (siasa za Iran). Haikufahamika kwa haraka ni nini alichokuwa akikitafuta kwa huyo binti na nani alimtuma ajenge huo urafiki ghafla kiasi hicho. Hili ninalolisema kwa sasa hata Lowassa hawezi kulifahamu, si wewe peke yako.

Ni vigumu kuamini kuwa, Serikali ya Marekani imegharamia masomo ya Rostam LSE (baada ya hii task) na hii serikali kupitia Prof mmoja anayefundisha chuo kikuu kimoja UK huku akiwa ni mfanyakazi wa CIA iliweza kufanikisha urafiki mkubwa wa Rostam na huyu binti huku yeye (Prof) akiwaachia maelekezo vijana wa CIA baadhi kum-monitor Rostam na hatimaye urafiki ukawa mkubwa sana kiasi kwamba ukaweza kumfanya Rostam akubalike na Tehran.

Kwa udhamini na wito kutoka serikali ya US, Rostam akawa anakwenda mafunzo mahsusi ya ki-usalama marekani na huko alikutana na watu wengi sana muhimu wakiwemo wamiliki wa Symbion. Kwa kukudokezea tu, pesa za Kagoda ni msamaha wa deni lililofanikishwa na ushawishi wake pale Tehran. Kwa bahati mbaya sana hata Mariam (mke wa Rostam) hakuufahamu uhusiano ule akifikiri ni mapenzi mpaka pale alipojua vinginevyo (ingawa hawezi kujua behind the scene kuna nini). Malengo ya Marekani na huu urafiki (Rostam-Tehran) bado yako palepale na nilipokutana na rafiki yangu (huyu aliweza kufanya kazi nzuri sana na Shah Riza kule Middle East) wa siku nyingi sana pale Boston, akanihakikishia kuwa lengo lilipangwa kutimia 2018 au 2022 hivi!. Ni hatari sana na mtandao wa Rostam na wenzake unaweza kukufanyia lolote watakalo kama usipokuwa makini!. Kule Saudi Arabia na sehemu nyinginezo ameweza kutumiwa sana na hawa ‘‘mabosi’’ wake kwenye masuala ya biashara.

Rostam anafanya kazi kubwa na nyingi za kibiashara na kisiasa na CIA kama agent wao muhimu sana Afrika huku yeye akisaidiana na mtandao wa CIA kule South Africa na ku-control sehemu kubwa Afrika Mashariki na Kati na sehemu nyingine za afrika ambazo US itakuwa na maslahi nazo. Mambo machache aliyoweza kufanikisha ni pamoja na kumfikisha Raila hapo alipo, mikataba ya kimaslahi na Salva Kiir achilia mikono ya Rwanda na Uganda kule Congo, Madagascar, mwafaka wa Zanzibar, kujivua gamba though kosa mojawapo ni wewe kukosea implementation hivyo kum-cost na kupelekea US kumwambia ajiuzulu ubunge na ‘‘kuacha’’ siasa kitu kinachomfanya afanye siasa mara kumi ya aliyokuwa akiifanya awali.

Mr President, muulize Othman akueleze ukweli kwa kuwa hili alilifahamu ingawa hajui ni kwanini lilitokea. Kumbuka vizuri wakati Bush amekuja Tanzania. Kule Arusha, viongozi wa makampuni makubwa yanayomiliki migodi mikubwa ambayo Bush, US na CIA ina maslahi nayo kutoka karibu kila kona ya dunia walikusanyika na walielezea ni kwanini biashara haiendi vizuri. Hakuna mtanzania yeyote Yule hata Deo aliyehudhuria except Rostam. Nani alimwalika na alihudhuria akitokea wapi?! Pale waliazimia mambo makubwa na ya hatari sana. Rostam anajua vizuri what happened na maazimio yale yalilenga nini.

US imeona wewe ni shida kwa kuwa nchi ni kama inakushinda vile na haioni tena mvuto wako kwa wananchi na hii ni hatari kwa maslahi yao hasa mafuta ya Zanzibar ambayo imeshayalia timing kwa maana ya kwamba imeshirki kikamilifu kucheza ‘‘game’’ ya Rostam-Jussa-Karume-Shein kwa haraka sana. Nimekwambia kwamba, Muungano waweza kuvunjwa na baada ya muda ukarudi tena nakuwa serikali moja. Jiulize ni kwanini Mwamunyange anakudharau kiasi hicho?. Hicho kiburi anakitoa wapi?. Mr President, usikurupuke, cheza karata vizuri!

Mr President, kikao chako na Rostam pale Haytty hotel kabla ya wewe kwenda mapumziko ya sikukuu za mwaka mpya Msoga si uliona Rostam anavyosita kuingiza pesa kukuunga mkono kwenye chaguo lako la mrithi wako? Hicho ndicho ulikuwa mpango wa Lowasa,

Nitaendelea….!

By Yericko Nyerere

It is the biggest financial scandal in Malawi’s History.

 It is the biggest financial scandal in
 Malawi’s history. Known as “cashgate”, it
 has affected the country’s relations with
 donors and caused outrage among
 Malawians. And with elections in May this
 year, the scandal could cost President
 Joyce Banda and her People’s Party votes,
 writes the BBC’s Chakuchanya Harawa.
 At the centre of the scandal is a computer-
 based financial information storage system.
 Some government officials have allegedly
 been exploiting a loophole in the system to
 divert millions from government coffers.
 It is estimated that up to $250m (£150m)
 may have been lost through alleged
 fraudulent payments to businessmen for
 services that were not rendered.
 According to a report in the local media, an
 audit by managers of the financial system
 has established that records of some
 transactions carried out between July and
 September 2013 were deleted.
 Allegations of the massive looting of
 government money became public following
 the shooting of the finance ministry’s then
 budget director Paul Mphwiyo in September
 2013.
 Just days before, a junior civil servant was
 allegedly found with bales of cash totalling
 more than $300,000 in the boot of his car.
 More cash was confiscated from some civil
 servants’ homes and car boots.
 ‘Crisis of confidence’
 The country’s main donors were infuriated.
 They have withheld $150m pending further
 investigation into the scandal.
 Woman in Malawi (file photo)
 Malawi is one of the world’s poorest
 countries and is reliant on donor funding
 Up to 40% of Malawi’s annual budget is
 donor-funded.
 The EU ambassador to Malawi, Alexander
 Baum, told the BBC: “It is a crisis of
 confidence, and unless there is transparency
 and everybody has the feeling and trust that
 the crisis has been addressed with full
 determination, confidence will not return.”
 But it is not all doom and gloom for the
 government.
 The IMF, which had been withholding
 funding for the same reason, has just
 decided to give nearly $20m to the country.
 A government preliminary report looking
 into the alleged fraud, carried in conjunction
 with British experts, has now been
 completed although it has not been made
 public.
 Police have since impounded vehicles,
 houses, apartments and office buildings
 belonging to those suspected of
 involvement with “cashgate”.
 The Director of Public Prosecutions, Bruno
 Kalemba, told the BBC: “People have to be
 afraid of government money. In a country
 like ours, the needs are enormous and to
 imagine that just a few people were able to
 get their hands on this much money is quite
 discomforting and unpatriotic.”
 With the start of the trial this week of two of
 the 70 people charged so far, many will be
 hoping that more revelations will come into
 the open.
 But while the legal battles are being fought
 in the courts, on the political front cashgate
 could become a major issue in the
 forthcoming elections.
 ‘Scandalous’
 It is already dominating campaign rhetoric.
 The opposition has criticised the
 government’s handling of the scandal,
 portraying the current administration as
 corrupt.
 Protesters in Malawi – October
 2013
 Many Malawians have been shocked by the
 allegations
 President Banda argues that she initiated
 appropriate steps, including investigating,
 apprehending and prosecuting suspects as
 soon as she became aware of the
 allegations.
 Some have linked the scandal to the
 president, saying her party was trying to
 raise funds for the May election campaign.
 Her office described the allegations as
 “scandalous and baseless”.
 Some of the top names facing charges were
 until recently senior officials of the ruling
 party.
 Sacked Justice Minister Ralph Kasambala,
 who has been charged with the attempted
 murder of the former budget director, has
 told a magistrate he wants President Banda,
 her sister and two other senior officials to
 be his witnesses when his trial starts.
 Another former ruling party executive
 committee member and businessman has
 been charged with theft and money-
 laundering.
 It is alleged that his company pocketed $
 6.5m for services not rendered. Both deny
 the charges.
 The financial management system was
 adopted in 2005 by the late Bingu wa
 Mutharika administration.
 President Banda has suggested that the
 looting may have started as far back as
 2010 following a directive by the former
 president that banks should honour all
 government cheques without asking
 questions.
 Ms Banda became president in 2012
 following the sudden death of Mr Mutharika;
 she had been vice-president although she
 had been fired from the then ruling party
 and had formed her own party.
 For the moment, the political effects of the
 trial are not not clear – the scandal could well
 hurt both Ms Banda’s People’s Party and Mr
 Mutharika’s Democratic Progressive Party
 (DPP), possibly allowing another party to
 gain ground.

By Yericko Nyerere

Jionee madudu ya ripoti ya ukaguzi wa mali za ccm,

KAMATI YA KUHAKIKI MALI ZA CHAMA  

 

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa iliyokutana Aprili, 2007 mjini Dar es Salaam iliunda Kamati ya Wataalam kwa ajili ya uhakiki mali za Chama. Majina ya Wataalam hao ni:-

 (1) Ndg. Peter Machunde – Fedha na Vitega Uchumi  (2) Ndg. George Fumbuka – Fedha na Vitega Uchumi  (3) Ndg. Sam Mapande – Mwanasheria  (4) Ndg. Kanyoni Salum Kanyoni – Mhandisi  (5) Ndg. Jacquiline Noni – Mfanyabiashara  (6) Ndg. Simon Mapolu – Mchumi  (7) Ndg. Janeth Mbene – Mchumi  (8) Ndg. Ussi Faki – Mkaguzi  Katibu wa Kamati hiyo alikuwa Ndugu L.L. Burugi – Meneja Miliki wa Chama.

 

 Kamati ilianza kazi tarehe 19/6/2007 na kukamilisha tarehe 28/10/2007. Kazi ya Kamati hii ililenga mali za Kudumu za Chama zilizopo Makao Makuu, Mikoani na katika Wilaya zilizopo kwenye Makao Makuu ya Mikoa. Aidha, zoezi hili lilihusisha pia mali za Jumuiya za Chama katika maeneo hayo pamoja na kufanya tathmini ya mwenendo wa Makampuni ya Chama.

 12. BAADHI YA MADENI AMBAYO CHAMA KINADAIWA  (1) MADENI YA BENKI NA TAASISI ZA FEDHA  NBC Ltd. – 143,763,404.00  NSSF – 831,822,961.50  Ukaguzi wa Hesabu – 72,240,000.00  1,107,826,365.50

 Deni la NBC ni la tangu mwaka 1994 kupitia Kampuni ya Chama TANTI kwa kuweka rehani nyumba 10 za CCM zilizoko Area ‘C’ – Dodoma.

 Mkopo wa NSSF unahusu Jengo la CCM Shinyanga. NSSF walimalizia kujenga Jengo. Mazungumzo yalifanyika kati ya CCM/NSSF na kufikia makubaliano ya Chama kununua Jengo hilo kwa shs. 1,109,097,282/= kiasi cha 25% kimelipwa.

 Deni la ukaguzi linatokana na ukaguzi wa hesabu za mwaka 2009/2010 na 2010/2011.

 

 (2) MADENI YA VYOMBO VYA HABARI

 1. Clouds Entertainment Media Group 13,080,000.00  2. Radio Tumaini 424,800.00  3. ITV 3,778,360.00  4. Sahara Media Group Ltd 44,244,000.00  5. Sports Dream Co. Ltd 810,000.00  6. KIUTA 9,430,350.00  7. Colour Print 22,619,792.00  8. Business Times Ltd (Majira) 4,988,945.00  9. Habari Corporation 6,850,000.00  10. Mwananchi Communication Ltd 9,620,000.00  11. TSN 8,271,160.00  12. Guardian Ltd 11,702,160.00  13. TBC 7,687,360.00  14. Uhuru Publication Ltd 55,049,040.00  15. WAPO Radio 1,000,000.00  16. Zanzibar Leo 4,500,000.00

 17. Raia Mwema 1,129,000.00  18. FTV Production 1,980,000.00  

Jumla Tshs. 201,866,807.00

By Yericko Nyerere

Lowassa hawezi kuwa rais wa nchi hii labda katika njozi,

Edward Lowassa amegeuzwa mradi wa watu kujichumia pesa kwa tafsiri ya lugha ya kimjini ni kwamba amefanywa buzi la baadhi ya watu wenye njaa AMA kuendekeza njaa na kumdanganya mzee huyu kwamba anafaa kuwa rais yalaiti wakiujua ukweli kabisa kwamba Lowassa haweZi kuwa rais wa nchi hii labda katika njozi,baadhi ya wanasiasa,

Kikundi kimoja ndani ya umoja wa Vijana wa ccm wakiongozwa na bashe, kundi la wafanyabiashara ambalo walinufaika Wakati Lowassa akiwa Waziri mkuu, kundi linalojiita friends of Lowassa,baadhi ya blogs na magazeti kadhaa na vyombo kadhaa vya habari na baadhi ya watu humu ndani ya jamii forum wakuwa wakitumika vibaya kwa kupewa pesa na mzee Lowassa kazi Yao kubwa ni kuimba Wimbo wa lowassa anafaa kuwa rais 2015.

 

 La hasha wanamlia pesa mzee huyu ambae ata familia yake na haswaa mkewe wamekuwa wakimtaadharisha na wachumia tumbo hawa ambao wanajua hali ya afya ya Lowassa ni tete kwa sasa
 Huu hapa sasa ndio ukweli mtupu wa kwanini Lowassa hawezi kuwa rais wa nchi hii na Jambo ambalo limepelekea kwa kiasi kikubwa mkewe kumkataza na kumwambia mzee apumzike

 

 1. Habari za ndani na za uhakika ni kwamba mzee huyu baada ya kufanyiwa operation ya mgongo madaktari wake ujerumani walimshauri asijishugulishe na siasa ata za jimboni kwake na badala yake atumie muda mwingi sana kupumzika, kinachotokea sasa- Lowassa hawezi kukaa kwenye kiti vizuri na anakalia upande mmoja AMA kushoto au kulia na hawezi kusimama kwa muda mrefu pia,huyo ndio wachumia tumbo wanamwita rais.

 

 2.kutokana na matumizi ya pombe kali na haswa alipojiuzuru kwa kashfa ya ufisadi ambayo mpaka Leo hakuna chombo chochote cha kiserikali ambacho kimesema hakuusika na kumsafisha hadi Leo hii Lowassa sasa amepatwa na ugonjwa wa kutetemeka mikono na hawezi kuandika si kwa kutumia Kalamu au ata kujibu MSG kazi inayofanywa na wapambe kwa sasa huyo ndio wanaemwita rais 2015

 

 3. Lowassa pia amepoteza uwezo wa kuona, haoni zaidi ya mita 5 na ata Kama anakusalimu ni mpaka uwe karibu nae Kama anakuja ndipo atajua nimekutana na Fulani,ukiwa nae karibu angalia jicho lake la kushoto utagundua kwamba limeshuka chini na kufumba na kufunguka kila baada ya sekunde kadhaa baada ya operation pia ya jicho, wote tunajua siri ya mgonjwa ni ya daktari lakini hizi ni za kifamilia zaidi maana Kama ndugu lazima mjue anaumwa nini na kwakua tunataka rais ni vyema tukajua tunapata rais wa aina gani maana kiongozi ni kioo..huyo ndio Lowassa mnaeimbiwa Wimbo na wachumia tumbo Huku haya yote wanayajua.

 

 Walipokuwa monduli hivi majuzi Wakati wachumia tumbo hawa walipokwenda kumuunga mkono kwa safari yake ya kusadikika alisikikika kanisani akitoa kauli hii namnukuu, mke wangu najua umekua ukinitaka nipumzike lakini watu hawa wananiitaji sana kujenga taifa hili nami sitowaangusha, nisamehe mke wangu Kama nitakukwaza. Mwisho wa kumnukuu.

 

 Ndugu Zangu watanzania nchi hii tuko mil 45 hivi kwanini awa watu wanalazimisha kubeba gari bovu na Magari mazima yamejaa katika nchi hii? Kwa pesa na si utu? Najua Kama ingekuwa kununua ujana inawezekana Leo hii Lowassa angeununua ata kwa mabillion ya pesa tena za wale wanaojiita marafiki zake ambao aliwapa Dili akiwa Waziri mkuu sasa wanataka kuuza nchi kabisa apate urais japo ata kwa mwaka mmoja maana wanaijua vyema afya ya Lowassa kwa sasa, 

 

Ni ukweli usiopingika Lowassa alikuwa mchapakazi, mtu wa maamuzi magumu enzi hizo ana nguvu, uwezo mkubwa na afya imara: urais si kazi ndogo, kusafiri vijijini, wilayani, mikoani ndani na nje ya nchi sasa kwa hali ya mzee huyu je wanamnadi kwa historia ya utendaji wake au uhalisia wa sasa? Hoja kwangu hapa ni afya ya Lowassa inamnyima nafasi ya kutumikia nchi hii kwa sasa.., mzee pumzika na shtuka na hawa wanaokufanya wewe mradi.

 

 Sidhani pia CCM nao wanaweza beba mzigo Kama huu kiafya katika kampeni za kuzunguka nchi nzima lakini wakijua fika tutawauliza alisafishwa na nani na lini katika kuhusika na ufisadi.. Pumzika kwa amani mzee kabla hawajakuua na presha hawa wachumia tumbo wanaokufanya mradi.
 Mungu ibaraki Tanzania.

By Yericko Nyerere

Uchunguzi wa kifo cha Mkuu wa zamani wa Ujasusi wa Rwanda Lut. Gen. Patrick Karegeya, mfahamu muuaji wake.

By Wikileaks01 Spy

Apollo gafaranga ndiye aliyetekeleza mauaji ya patrick karegeya huko jo’burg..huyu apollo ni mmoja wa wafanya biashara wakubwa hapo rwanda akiwa na sophisticated thietre maeneo ya nyamirambo ambapo sasa ni maarufu kwa jina la cine star cinema …ujenzi wa kituo hicho uligharim dola million moja na siku ya ufunguzi mwaka 2009 aliyefungua ni bwana paul kagame mwenyewe

 nyuma ya paziwa bwana apollo gafaranga alikuwa trained spy na pia assassin wa hali ya juu sana na wakati huyu patrick karegeya akiwa masterspy miaka hiyo huyu gafaranga alikuwa ni mmoja wa ma infomer wake.

 baada ya patrick karegeya kukimbia na kwenda kuishi uhamishoni nchini A.kusin, kule rwanda kuna kikundi kilichoundwa na bwana kagame kijulikanacho kama ”escadron de la mort” huyu apollo gafaranga laikuwa ni mmoja wa wana kikundi hao ambapo lengo kubwa la kikundi hiki ni kutafuta wale wote walio kinyume na utawala wa rwanda na kuwamaliza.

 baada ya kuingizwa katika kikundi hiki bwanda gafaranga alipewa mafunzo ya hali ya juu ya namna ya kutekelekza mauaji bila kujulikana na target yake kuwa ilikuwa ni huyu karegeya….

 baada ya mafunzo kukamilika na biashara hiyo kuwa imefunguliwa kama ”cover story” machoni pa macho ya watu wa kawaida. mwaka 2010 bwana gafaranga alianza urafiki na bwana karegeya huku akijifanya kuwa ni mmoja wa watu waliokuwa wakiupinga utawala wa kagame nchini rwanda. gafaranga alianza kumtembelea karegeya huko south africa na pia alishiriki kwa kikamilifu katika mikutano ya RNC ,chama ambacho mpaka leo kinapanga kuuangusha utawala wa kagame huko rwanda.

 mara zote aliposafiri kwenda A.kusini kwa bwana karegeya huyu gafaranga alikuwa hatokei moja kwa moja nchini rwanda na pia mara zote amekuwa akitumia passport na document fake kwenda huko africa ya kusini. mwaka 2012 december ni huyu huyu bwana gafaranga alimshauri karegeya kuacha kutumia walinzi aliokuwa amepewa na serikali ya africa ya kusini chini ya wamvuli kuwa wanaweza kununulika na akauawa…na hivyo bwana karegeya alikubaliana na ushauri huo nakwenda katika mamlaka za SA na kutoa ombi lake hilo akisema sasa yuko makini na kila safari anayofanya ndani ya nchi hiyo na hivyo haitaji walinzi…mamlaka ya SA iliwaondoa walinzi.

 mwezi wa wa nane mwaka jana bwana apollo gafaranga alimpigia simu karegeya na kumwambia kuwa serikali ya rwanda inamtishia uhai wake na tayati imefunga biashara zake hivyo anamuomba patrick karegeya amtengenezee mazingira ili nae akimbilie huko africka ya kusini na kuanza biashara huko…mda wote huo karegeya hakujua kuwa huyu bwana ana mission nyingine kabisa toka mwanzo wa urafiki wao

 karegeya alianza maandalizi ya kumuandalia makazi bwana gafaranga…na tarehe 28 december bwana garafaranga aliwasiliana tena na kargeya na kuwambia kuwa amtafutie chumba katika hoteli na safari hii asingependa kufikia nyumbani kwa kargeya asije akahatarisha usalama wake maana nae anafatiliwa na serikali ya rwanda kwa hiyo anapenda kufikia hotelini ambako atakuwa salama zaidi.

 karegeya alikod chumba namba 905 katika hotel ya sandton hapo jo’burg na tarehe 29 bwana gafaranga akafika SA na ni karegeya aliyempokea kwenye uwanja wa oliver tambo na kuelekea moja kwa moja hotelin amabako karegeya alimuacha mgeni wake kwa makubaliano kuwa wakutane tarehe 31 ili kuendelea na mipango yao ya namna ya kuiangusha serikali ya kagame lakini pia namna anavyoweza kuanzisha makazi yake na biashar zake huko africa ya kusini maana serikali ya rwanda inamtishia maisha.

 tarehe 31 karegeya akaenda moja kwa moja katika hotel hiyo kumuona mshirika wake na rafiki yake na alipofika na kuingia ndani karegeya alifunga mlango na kuweka alama inayoonyesha ”do not disturb” pale mlangoni..

 wakati karegeya anaiangia ndani ya chumba cha hotel ile mle ndan ya chumba palikuwa na jumla ya watu watatu maana yake kuna wawili waliongezeka na wote hawa wanatoka kwenye kikosi kazi cha ”escadron de la mort” hawa wawili walikuwa wamejificha bafuni wakati karegeya akiingia…

 walimnyonga na kumpiga risasi bwana karegeya na walipohakikisha amekufa wakaubeba mwili na kuuweka kitandani na kuufunika shuka kuanzia shingoni hadi miguuni…

 baadaya mauaji hayo escadron de la mort waliondoka pasipo kujulikana na kutokomea nje ya south africa wakipitia mozambique

 huo ndo ukawamwisho wa patrick karegeya…

” kabla ya mtu kulikuwa na mtu na baada ya mtu kuna mtu”</p

By Yericko Nyerere

Uongozi wa siasa Tanzania umekosa maadili ya uongozi na Taifa kuzaa akina Zitto Kabwe.

By Yericko Nyerere

 

MAADILI ya uongozi ni mwenendo au tabia njema inayokubalika na jamii katika kazi ya kuongoza. Kwa kuwa uongozi ni kazi ya kuwaelekeza watu kwenye kujiletea maendeleo yao kwa utashi wa uhuru, haki na usawa; viongozi lazima wazingatie maadili ya uongozi yanayokubaliana na utashi wa utu, heshima ya binadamu na usawa katika matumizi ya rasilimali za nchi katika kufikia malengo ya ujenzi wa jamii ya watu waliyo sawa na huru.

 Hivi ndivyo ilivyodhaniwa kwenye Azimio la Arusha la 1967 na ndio maana uongozi wa awamu ya kwanza ya Mwalimu Julius K. Nyerere na chama cha ukombozi (TANU) uliamua kwa pamoja kuweka maadili na miiko ya uongozi kama sehemu ya Azimio la Arusha (1967).

 Mabadiliko ya sura ya uongozi tangu uhuru (Desemba 9, 1961) hadi wakati huu umeifanya kada ya uongozi wa siasa Tanzania kuwa kazi ya kipato, kama zilivyo kazi nyingine ambazo baadhi ya watu ndani na au nje ya mfumo wa kada ya uongozi wamekuwa wakipigana vikumbo kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi za uongozi kwenye mfumo wa vyama na au wa kushika madaraka ya kuongoza nchi kwenye nafasi zake zote.

 Maadili ya uongozi kama dhamana inayotoka kwa wananchi yamegeuka na kuwa satwa ya ujasiriamali wa kisiasa. Wanasiasa wenye uoni wa kijasiriamali wanaodhani kwamba uwekezaji kwenye siasa ni wenye kulipa wamechukua nafasi kubwa kwenye mchakato wa siasa na uandaaji wa nafasi za uongozi ndani na au nje ya mfumo wa siasa, jamii na uchumi.

 Kukosekana kwa maadili ya uongozi kwa sehemu kubwa kumesababishwa na hali angavu ya roho iliyochafuka na kushikwa na uchu unaoongozwa na tamaa ya kishetani katika kutafuta “ukubwa” na mamlaka yenye satwa (nguvu) katika kutawala fursa zote zenye taathira katika mchakato wa maisha ya watu na mazingira. Viongozi wa siasa wamepoteza utu na heshima yao kama binadamu anayehitaji utulivu wa nafsi yenye matumaini juu ya kuwatumikia wengine.

 Kwa ujumla, kama alivyoandika Sayyid Mujtaba Musawi Lari (1992) kwenye kitabu chake kinachoitwa “Uchunguzi wa Matatizo ya Kimaadili na Kinafsi” binadamu anahitaji kuishi kwa kufuata maadili yaliyokamilika. Lari (1992, ukurasa wa 75) anasema, “mojawapo kati ya misingi na shuruti za maisha ya kijamii na ukamilifu wa kila taifa ni maadili.”

Ndio kusema, hata Azimio la Arusha (1967) lilisisitiza sana “maadili” na miiko ya uongozi ambayo ndiyo yaliyokuwa sehemu ya maisha ya viongozi wa TANU (na CCM baina ya miaka ya 1967 hadi 1992).

 Lari (1992) anaonyesha kwamba kama taifa litakosa maadili basi kuna kila dalili ya taifa hilo kuangamia na au kupoteza mwelekeo wa maisha ya saada kimaanawi, kiroho na kimaada. Kwa kuwa binadamu haishi kwa mkate peke yake; bali, kama kiumbe wa kijamii, lazima afuate njia ya uhuru, haki na usawa katika kuelekea kwenye uchaji Mungu ili kwa uchaji huo ipatikane nafasi ya baraka za kiroho katika kufikia malengo makuu na mhsusi ya kuumbwa kwake katika kufanya dunia mahala pa ustawi wa maisha ya sasa katika kuyaendea maisha ya baadaye.

 Kwa mtazamo wa uchunguzi wa kisayansi na kwa utumizi wa mantiki ya hoja tunaweza kukubaliana kwamba uongozi (na hususan, uongozi wa siasa) umekosa maadili ya uongozi kwa vile sehemu kubwa ya uongozi wetu na viongozi wengi wamekosa maadili ya uongozi na kuongoza.

 Mara kadhaa wametokea watu kuukosoa uongozi wa nchi yetu. Japokuwa ukosozi huo huonekana kana kwamba ni chuki binafsi zinazoelekezwa kwa watu binafsi kwenye mfumo wa uongozi kutokana na inda (chuki ya mtu dhidi ya mafanikio ya mwingine).

 Hata kama, kwa sehemu fulani wapo wanaodhani kwamba ukosefu wa uongozi wenye maadili ya uongozi na ukosozi wake huchukua sura ya chuki binafsi; kuna ukweli wa moja kwa moja na wa kisayansi unaoonekana kwa kushindwa kwa uongozi unaoongoza shughuli za serikali kufika utashi wa uongozi bora.

 Mwalimu Julius K. Nyerere aliwahi kuandika kitabu juu ya uongozi na hatma ya Tanzania wakati wa mgogoro wa uongozi wa awamu ya pili kipindi cha miaka ya 1990 na 1995.

 Mwalimu Nyerere alijaribu kuonyesha upungufu uliyojitokeza kwenye sehemu ya pili ya awamu ya pili kutokana na kutelekezwa kwa Azimio la Arusha la 1967 na siasa kugeuzwa “ujasiriamali.” Hata hivyo, ukosozi wa Mwalimu Julius K. Nyerere haukuchukuliwa kwa vile “kitabu chake kilikwishapita, na enzi hiyo ilikuwa na kitabu kingine.”

Siasa iliendelea kuwa mwendo mdundo kila kiongozi akitafuta kuwekeza kwenye ujasiriamali wa kisiasa (political entrepreneurship) kwa kuwa ilishaonekana wazi kwamba uongozi wa siasa utachukua nafasi muhimu kwenye miaka ya kuanzia 2005 na kuendelea; hali tunayoishuhudia sasa!

 Mwaka 2008, kama miaka mitatu tangu kuanza kwa awamu ya nne, Profesa Ibrahimu Haruna Lipumba na yeye (kama mwanafalsafa na mwanasiasa) aliandika hotuba juu ya “ukosefu wa uongozi na hatma ya Tanzania.”

Kama ilivyokuwa kwa Mwalimu Nyerere ndivyo ilivyokuwa kwa Profesa Lipumba, ukosozi wake ulionekana pumba na kama kawaida uongozi wa chama tawala uliendelea na mwenendo uleule usiyozingatia mabadiliko ya uongozi wenye tija kwa kuzingatia utashi wa watu na maendeleo yao kwa kuzingatia uongozi wenye maadili yaliyotukuka.

 Hali tete ya ukosefu wa maadili imeendelea kuishika Tanzania. Hata sasa, hali ya ukosefu wa maadili ya uongozi imechukua sura mbaya zaidi kwa vile viongozi wengi wamepoteza maadili ya utu na heshima ya binadamu imemezwa na shetani anayewaongoza kwenye ufisadi mpevu.

 Kwa muhtasari, tujaribu kufuatana katika kuangalia matatizo ya kimaadili na kinafsi yanayowakabili viongozi wengi wa Tanzania waliyekabidhiwa dhima ya kuongoza shughuli za serikali ya watu kwa niaba ya wananchi.

 Katika matatizo ya kimaadili kumi na sita (16) kama yalivyoainishwa na Lari (1992) kwenye kitabu chake; sehemu ya matatizo kumi na moja (11) ya matatizo hayo yanapatikana kwa viongozi wa Tanzania!

 Hili linaweza kukusitua msomaji; hata hivyo, hiyo ndio hali halisi! Kama tutayachukua matatizo ya kimaadili yanayowakabili vongozi wengi ndani na au nje ya mfumo rasmi wa uongozi wa serikali tunaweza kuona kwamba asilimia 68.75 (kama 69%) ya matatizo aliyoyaorodhesha na kuyachambua Lari (1992) yangalipo. Huu ni msiba mkubwa kwa taifa!

 Viongozi wengi ni waongo! Pasipokuwa na chembe ya kuogopa dhambi ya uongo, wengi wa viongozi wamekuwa wakichukua viapo vya uongo na kushindwa kutafakari madhara yake.

 Uongo wa viongozi wengi, kwa mujibu wa uchunguzi na mantiki, unasababishwa na tamaa au tabia chafu ya mazowea ya kudanganya! Wanatumia uongo kwa vile haijawahi kushuhudiwa viongozi wakiwekwa mtu-kati katika kuthibitisha tabia hii ambayo ndio inayowafanya wananchi wengi kuishi kwa kutegemea uongo kama sehemu ya mila na dasturi kwa vile wanawaona viongozi wao wakishiriki na kunufaika na uongo wa kimaslahi. Viongozi wengi wamekuwa wahaini kwa nchi na watu wake kutokana na uongo!

 Unafiki, kama ugojwa mbaya wa kimaadili, umewashika viongozi wengi wa Tanzania! Kwa ujumla, kama falsafa ya unafiki ilivyo; viongozi wengi ni wepesi wa kutoa ahadi lakini si watekelezaji. Uongozi wa Tanzania umekuwa hodari wa kutoa ahadi nyingi kuliko uwezo wa utekelezaji wa ahadi hizo kutokana na ufinyu na au matumizi mabaya ya rasilimali.

 Kutokana na ahadi za kinafiki zinazotolewa na viongozi wa siasa wakati wa kampeni za uchaguzi wananchi wamekuwa wakiwapa ridhaa ya kushika nafasi za uongozi kwa dhana kwamba yale yaliyoahidiwa kwenye ilani za uchaguzi yatafanyiwa kazi

 Kinyume chake, viongozi wengi wamekuwa wakifanya hiana pamoja na kuchukua ahadi ya kutekeleza ahadi na viapo vyao. Viongozi wengi hawasemi ukweli; isipokuwa husema uongo! Uongo umekuwa sehemu ya maisha ya uongozi wa siasa; na ndio maana wapo baadhi ya wanafalsafa wameshaanza kuiona siasa kuwa “mchezo mchafu.”

Sifa nyingine mbaya ya kimaadili waliyonayo viongozi wengi wa siku hizi ni udhalimu. Wengi wa viongozi wa serikali katika ngazi zote wana tabia ya kuwakandamiza wanyonge wanaohitaji huduma kama sehemu ya haki ya wananchi kutoka kwa viongozi (na watendaji) waliyepewa dhamana ya kuwatumikia kwa uhuru, haki na usawa.

 Hali hii, pamoja na mambo mengine, ndio chanzo cha ufisadi wa kimfumo na wa ndani ya mfumo. Chimbuko la rushwa, hongo, chirimiri, kadhongo, na kuzunguka mbuyu ni kutokana na udhalimu wa moja kwa moja katika kukandamiza uhuru, haki na usawa wa kutoa huduma bora kwa wananchi kwa mujibu wa utashi wa sheria, kanuni na taratibu za kazi ya kusimamia menejimenti ya utoaji wa huduma bora kwa wananchi.

 Kutokana na hali ya kutokuwepo upendo baina ya viongozi na wananchi, roho mbaya na kinyongo miongoni mwa viongozi na wananchi wanayedhulumiwa huamsha chuki na uadui ndani ya jamii.

 Kwa kutamani hali ya kukomaa kwa chuki na uadui kwa maslahi ya kibinafsi kuna baadhi ya viongozi wa kisiasa, kijamii na kiuchumi wamekuwa mstari wa mbele katika kuchochea sintofahamu, songombingo au sokomoko za kisiasa, kijamii na kiuchumi ili kwa hali hiyo wapate kujijenga kisiasa na kuchukua nafasi ya kutawala kwa kutumia matukio!

 Mchezo huu unaofanywa na baadhi ya viongozi wa siasa ni wa hatari kwa vile wananchi ———- kama kondoo wa kafara katika kufikia malengo ya kisiasa!

 Uchunguzi wa mwandishi (kwenye mazingira ya demokrasia ya siasa za vyama vingi) umegundua kwamba sehemu kubwa ya viongozi wana ugonjwa wa kinafsi wa hamaki!

 Wengi wa viongozi wa siasa hawana uwezo wa kudhibiti hasira zao; na mara nyingi, viongozi waliyeghadhibika huonyesha hasira hadharani na hata wakati mwingine kushindwa kutumia busara na kuishia kutukana matusi (ya nguoni) au kutoa lugha chafu na kashfa! Hapa ndipo walipofika wengi wa vingozi wengi wanaotegemewa kuwa wakomavu na wenye uwezo wa hali ya juu kwa kudhibiti hamaki! Ifahamike hapa kwamba, “mwanzo wa hasira ni wendawazimu na mwisho wake ni majuto.”

Wapo baadhi wa viongozi waliyejikuta wakihamaki na kufanya maamuzi yasiyozingatia uhuru, haki na usawa na kujikuta wakijiingiza kwenye migogoro ya kimaadili.

 Kwa kuwa viongozi wengi wa Tanzania ni watu wanaopenda sana kuchuma na kulimbikiza mali kama mtaji wa ujasiriamali wa kisiasa; wengi wao, kama wanavyoshuhudiwa siku hizi, wamekuwa na tamaa ya hali ya juu katika kuvuna na kuhifadhi utajiri hususan kwa njia haramu na za kifisadi.

 Hali hii inawafanya wengi wao kuwa na tabia ya ubahili na kushindwa kuwasaidia wananchi wanaowaongoza katika kujinasua kutokana na umasikini wa kipato. Hakuna kiongozi anayefanyakazi ya kuwatafutia wananchi suluhisho la kudumu la matatizo na au changamoto za hali mbaya ya uchumi.

 Kama wapo, ambao ni wachache, ni wale wanaowapa wapiga kura wa maeneo yao misaada midogo wanapopatwa na majanga ya asili na au kutoa usaidizi wa elimu, mtibabu au maji pale wanapoombwa kufanya hivyo.

 Tamaa ya kupenda sana na au kutaka sana ndiyo inayowafanya viongozi wengi kufanya vyovyote na kwa “liwalo na liwe” katika kutafuta uwezo wa hali na mali katika kujenga uwezo wa kutawala mchakato na mfumo wa siasa na upatikanaji wa viongozi ndani ya na au nje ya chama na hatimaye serikalini.

 Kutokana na sababu za kimaumbile; tamaa ya kupita kiasi katika kutafuta uongozi kwa jinsi yoyote iwayo ndiyo inayowavuta wengi wanaotafuta nafasi za kungia kwenye msongo wa uongozi wa chama (kinachotawala) na ndani ya uongozi wa utendaji wa serikali kuwa kama mbwa-mwitu au tai anayesubiri kurarua!

 Hata kama, wananchi wenye mamlaka ya kuwapa madaraka viongozi nafasi za kuongoza, wakitumia nafsi yao ya kisheria, viongozi wenye tamaa iliyopitiliza hutumia ushawishi wa nguvu ya fedha zilizochumwa kifisadi kupora nguvu ya kisheria waliyonayow ananchi.

 Mwenendo huu wa kijamii, kisiasa na kiuchumi ndio unaoifanya Tanzania ya leo iwe kama “shamba la bibi.” Kila mwenye nafasi ya kutamani kushika nafasi ya juu kwenye uongozi wa ndani ya chama kinachotawala na au ndani ya mzingo wa utendaji wa kiserikali katika menejimenti ya uchumi na jamii atatafuta nafasi ya kuvuna mali nyingi na kutafuta umaarufu kwa njia yoyote iwayo alimuradi apate nafasi ya kuwa “bwana mkubwa.”

Mchakato wa kutafuta “ukubwa” na “uheshimiwa” umewaroga viongozi wengi wa siasa, jamii na uchumi hadi kutaka wasujudiwe na wananchi masikini!

 Huu ni ushenzi wa kimaadili uliyopitiliza! Si ajabu kuwakuta vijana wachanga (mabwana wadogo) watoto wa viongozi (vigogo) ndani ya chama na au serikalini wakitafuta utajiri (wa hali na mali) katika kulinda na au kutetea nafasi za wazazi wao ndani na au nje ya mfumo wa uongozi!

 Baba anarithisha ushenzi wa kimaadili kwa kizazi chake; na mama na yeye anafanya vivyo hivyo, kama baba afanyavyo! Kama chama kinageuzwa kampuni la wenye hisa, na wale wenye hisa nyingi ndio wanakuwa wamiliki wa uongozi kwa jinsi wanavyoweza kununua nafasi za uongozi au kuwanunulia watu wanaowataka kuwa viongozi kwa vile wapendavyo wao (wenye ushawishi wa hali na mali). Uongozi umefanywa sehemu ya kinyang’anyiro cha hila na mizungu ya uharibifu wa kimaadili usiyozingatia uhuru, haki na usawa wa kiakili, kiroho na kimaanawi.

 Binadamu hakuumbwa aishi kama mnyama wa porini; hata wanyama (wa porini) wamewekewa sheria, kanuni na taritibu za kimambile ambazo shuruti (lazima) wazifuate katika kuyaendea maisha yao kama wanyama, sembuse binadamu?!

 Sura ya viongozi wengi inaonyesha kwamba wengi wamebobea kwenye uwongo, unafiki, takaburi (kiburi na jeuri), udhalimu, chuki na uadui, hamaki, hiana, ubahili, tamaa, na mabishano.

 Matatizo haya yote ya kimaadili ndio yanayoufanya uongozi wetu ushindwe kufikia malengo ya usimamizi mzuri wa menejimenti ya rasilimali za Tanzania katika kuendesha mapambano dhidi ya maadui wa taifa ambao ni: umasikini; ujinga; maradhi; na ufisadi. Inawezekana kubadilisha hali ya uongozi wetu; wananchi wanapaswa kuchukua nafasi yao. Uongozi wa kiroho ni wajibu kufundisha kwa uhuru, haki na usawa juu ya dhima ya viongozi kwa wananchi. Kwa jinsi hiyo, tamko la kichungaji lililotolewa tarehe 18 Agosti, 2010 mjini Dodoma na viongozi wa dini lilihitaji usimamizi makini na madhubuti.

 Kwa ujumla, viongozi wengi wa siasa wamekosa sifa zilizoainishwa na viongozi wa dini, yaani: (1) ucha Mungu; (2) kujali na kuwastahi watu; (3) kupenda haki na kuwajli wanyonge; (4) kuijua na kuitetea Katiba ya nchi; (5) ukweli wa maneno na matendo; (6) kushirikiana na wananchi wote bila ya ubaguzi; (7) uwezo wa kuongoza na upeo mpana; (8) kupenda amani na utulivu; (9) uadilifu; na (10) moyo wa uzalendo na kulipenda tiafa lake! Sifa zote hizi; zaidi ya silimia 60 hazipo! Tuna wajibu wa kutafakari tulipokosea; nasisitiza, tulikosea, na ni wajibu tutafute njia ya uhuru, haki na usawa katika kutafuta ufumbuzi wa uadilifu kama taifa. Hatujachelewa sana; japokuwa tumeshaumia kwa miaka 30 sasa; tujiandae kuleta mapinduzi ya fikra.

 nchi yoyote dunia uendeshwa na katiba na sheria ubaya ni pale viongozi wanaposhindwa kutumia katiba na sheria zilizopo na kubaki kutafuta njia mbadala ya kuiongoza nchi jambo ambalo linakuwa ni hatari kwa usalama na ustawi wa nchi kwani kila kiongozi anabaki akifikiria kila mawazo yake ndiyo njia sahihi jambo ambalo linakuwa ni kinyume na matarajio ya wananchi,

 siku za hivi karibu kumeanza kujitokeza chuki pandikizi katika nyanja mbali mbali ambayo ni hatari kwa usalama na ustawi wa nchi, nyanja hizo ni 1. siasa 2. udini 3. ajira 4. ardhi 5. usalama ;maeneo haya tayari imisha wagawa watanzania kimtazamo na hatakuwa na hasira kali dhidi ya viongozi na watawala kwa kushindwa kusimamia katiba na sheria ikiwa na miogozo kamili katika kila jambo ili kupunguza uhasama na chuki hizi zinazoenea kwa kasi,

 kibaya zaidi ni pale bunge ambalo ndilo lingekuwa suluhu kwa kutunga sheria na kuisimamia serekali ili kuakikisha nchi inakuwa na amani kwa kutunga sheria inayotoa haki na usawa katika kila jambo kwa kila mtu imekuwa ni bunge imekuwa ni bunge la matusi na ubabe na kukosa heshima ya kuitwa bunge tukufu. Uchafu na hatari kwa usalama wa nchi kama bunge inaibua mjadala wa udini jambo ambalo limisha sababisha maafa na hata wengine kushitakiwa alafu wanabaki kukebeiana bila kujadili hoja hiyo kwa makini na kulitafutia suhulu la kudumu kwa kuitungia sheria yenye mtanzamo sawa kwa wote yenye kuridhiwa na pande zote husika,hii tu inawathibishia watanzania ushiriki wa bunge katika kuharibu amani hapa nchini kwa maslai ya wachache wenye manufaa na imani hiyo kutoweka kwa kasi

 pia wabunge kujadili maswala ya nchi kwa misingi ya vyama vyao na bunge kugeuka uwanja wa fujo na ubabe huku wakisaau majukumu yao tena katika kupitisha bajeti ya serekali jambo ambalo na kila mtanzania hili tu. Inatosha kuonyesha watanzania kwamba hatuna sasbabu ya kuwa na bunge la aina hii wamekuwa ni waribifu wa kodi ya wananchi bure bila wananchi kuwa na manufaa na bunge hilo  serekali kushindwa kutoa majibu ya wazi katika malamiko yenye jazba kama ugaidi, udini na migoro ya ardhi nao kuingia katika malumbano na kungana na ubabe hii inasabashi wananchi kuamini malamiko hayo yana ukweli ndiyo maana yana kosa majibu ya kuridhisha kwani mpaka sasa wananchi wamishagawanyika katika misingi ya ukanda, siasa, udini, ndiyo maana wananchi wameaza kungomea rasilimali yanyopatikana katika maeneo yao jambo ambalo ni hatari kwa maslai ya taifa,

 ulevi wa madaraka na siasa zisizozingatia uhuru, utu, haki na usawa litatufikisha katika maisha yasiyo salama kwa amani ya nchi yetu kutoweka , kwani ulevi wa madaraka na siasa azina thamani mbele maisha ya binadamu na haki ya kuishi

 ni wakati sasa kila mtanzania akatafakari kwa umakini tumetoka wapi? Tupo wapi? Na tunakenda wapi? Naisikitikia nchi yangu kuwa na dalili zote za kuingia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe jambo linalosababiswa na majibu mepesi katika maswali magumu yanayoulizwa na wananchi au maswali hayo kukosa majibu kabisa kitakacho tuokoa ni kuwa na sheria zisizobagua watu kwa makundi yao, dini zao , idikadi zao, kabila zao na ukanda wao, na kueshiwa kwa utu wa watu kwa kila moja wao

Nakala kwa Edward Lowasa, Zitto Kabwe, Mwigulu Nchemba, Emanuel Nchimbi, Samson Mwigamba, Kitilla Mkumbo nk

By Yericko Nyerere

How Ariel Sharon has been kept alive for eight years

Six weeks before his 78th birthday, in January 2006, Ariel Sharon suffered a debilitating stroke while serving as Israel’s prime minister.

His collapse was so sudden and complete that doctors at Hadassah University Hospital in Jerusalem advised his family that he should be allowed to die. Yet advanced medical care allowed him to live for another eight years – at least in the physical sense – and receive daily visits from his two sons, Gilad and Omri.

A Computerised Tomography (CT) scan, which uses X-rays to build a detailed image of the inside of a human body, found that Mr Sharon had suffered incurable brain damage from his stroke. The doctors responded by trying to minimise his suffering by placing him in a medically-induced coma.

His son, Gilad, later summarised the medical advice as: “Based on the CT scan, the game was over”.

However the two brothers insisted that their father must be kept alive. “I would never be able to forgive myself if we did not fight to the end,” wrote Gilad in a biography of his father, “Sharon: The Life of a Leader.”

By Yericko Nyerere

Al-Shabaab Terrorist Strike Somalia & Kenya January 2, 2014

.

Al-Shabaab in the recent past have gained military strengths Al-Shabaab in the recent past have gained military strengths

A grenade attack in a Kenyan hotel at the South coast left 8 badly injured.

The threat of terrorism remains high in East Africa with a bias on Kenya and Somalia.

Kenya has remained a soft target after it deployed its forces to rout the terrorists and militants from camps near its border with Somalia.

Al-Shabaab ideology may focus on increasing terror attacks in Kenya and Somalia in coming days to further push their agenda for Jihad.

In Somalia, terrorists attempted to bomb Jazeera hotel which is close to Mogadishu’s airport.

The hotel is very popular with Somali politicians.

Heavy explosions followed by successive gunfire were reported as security forces in Mogadishu tried to help victims.

Four Somali police officers were among the dead in the attack.

By Yericko Nyerere